Mbappe atamani kufikia rekodi za Messi na Ronaldo
Nyota wa Real Madrid Kylian Mbappe amefikisha mchango wa mabao 500 katika maisha yake ya soka baada ya kupiga hat trick (Magoli matatu) katika mchezo wa jana UCL Real Madrid walipoipiga Manchester City bao 3-1 katika mchezo wa marudiano wa mtoano