Jamhuri kuja na majibu pingamizi la Lissu leo
Jamhuri itajibu hoja nne za mapingamizi ya Lissu aliyotoa Ijumaa ya tarehe 17, Oktoba 2025 juu ya kukataa vielelezo vielelezo vilivyowasilishwa na shahidi namba tatu wa Jamhuri kuwa visipokelewe na mahakama.

