Innocent Siriwa atangaza nia Urais ADC
Katibu Mkuu wa chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Innocent Gabriel Siriwa ametangaza kutia nia ya kugombea nafasi ya urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mwaka 2025 mpaka 2030 kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC).