Basi la New Force lapata ajali Chalinze Alfajiri ya leo majira ya saa 11 asubuhi bus la New force lililokuwa likitokea Tunduma kuelekea Dar es salaam limepata ajali eneo la Bwawani, Chalinze mkoani pwani. Read more about Basi la New Force lapata ajali Chalinze