Ramos afungua ukurasa wa Magoli Monterrey Sergio Ramos - Nahodha wa zamani wa Real Madrid Nahodha wa zamani wa Real Madrid Sergio Ramos amefunga bao lake la kwanza katika klabu yake ya Monterrey wakati timu hiyo ya Mexico ikiilaza Santos Laguna 4-2 kwenye Uwanja wa Estadio BBVA. Read more about Ramos afungua ukurasa wa Magoli Monterrey