Vijana wakutwa na noti bandia Mbeya

Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya

Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya linawashikilia watu wawili Geofrey Braiton na Michael Ruben wote wakazi wa Mbeya mjini kwa tuhuma ya kupatikana na noti bandia za shilingi elfu kumi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS