Trump aja na mawazo mbadala kuhusu Ukraine Rais wa Marekani Donald Trump atafikiria kuondoa kusitisha msaada wa kijeshi wa Marekani kwa Ukraine, ikiwa mazungumzo ya amani yataendelea, anasema mshauri wake wa usalama wa taifa Mike Waltz Read more about Trump aja na mawazo mbadala kuhusu Ukraine