Antonelli akataa kuwa mrithi wa Lewis Hmilton Andrea Kimi Antonelli Dereva wa Mercedes Andrea Kimi Antonelli amekataa kwamba yeye ni mbadala wa Lewis Hamilton katika timu hiyo ya F1 badala yake anataka kuweka historia mpya katika mwanzo wake wa udereva. Read more about Antonelli akataa kuwa mrithi wa Lewis Hmilton