Karim Benzema kurejea Real Madrid Karim Benzema - Mshambuliaji wa zamani wa Real Madrid Gwiji wa Real Madrid, Karim Benzema amedokeza kwamba anataka kurejea ndani ya klabu hiyo mara tu atakapostaafu soka. Read more about Karim Benzema kurejea Real Madrid