Marekani yaonywa sakata lake na USAID
Afisa wa ngazi ya juu wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID) ameonya katika barua pepe siku ya Jumapili, kwamba hatua ya serikali ya Trump ya kulivunja shirika hilo itasababisha vifo visivyo vya lazima.