Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) wakifurahi tuzo walizozipata katika maonesho ya teknolojia ya madini Geita. GGML iliibuka na tuzo nne ikiwamo ya muoneshaji bora pamoja na mshindi wa jumla.

5 Oct . 2023

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Dkt. Selemani Jafo akifungua Kongamano la pili la Kimataifa la Viongozi Vijana na Mabadiliko ya tabianchi (GLOBAL YOUTH CLIMATE SUMMIT) lililofanyika jijini Dar es Salaam Oktoba 04, 2023.

5 Oct . 2023