Picha ya msanii Marioo
"Aweee kulaanina! Huu mwaka tumetia hits nyingi sana kwa hiyo lazima tumalize na moto huu huu no way" ameandika Marioo kupitia page yake ya Instagram
They call him Toto Bad kutoka record label ya Bad Nation Tz Marioo amefunguka kuwa mwaka huu ametengeneza Hits song nyingi na lazima amalize kwa kuongeza kuongeza Hits nyingine kwenye level hiyo.
Picha ya msanii Marioo
"Aweee kulaanina! Huu mwaka tumetia hits nyingi sana kwa hiyo lazima tumalize na moto huu huu no way" ameandika Marioo kupitia page yake ya Instagram