Alhamisi , 5th Oct , 2023

Msanii wa Injili na mtumishi wa Mungu Joel Lwaga amefunguka chanzo cha kuacha kuvaa pete kwenye kidole chake kutokana na mabadiliko ya mwili wake.

Picha ya Joel Lwaga

Zaidi bonyeza hapo chini kutazama mahojiano yake aliyofanya na Planet Bongo ya East Africa Radio.