Jumatatu , 19th Jun , 2023

Namthaminina waungana na EATV Jogging Club

Timu nzima ya Namthamini ikishirikiana na EATV Jogging Club leo katika shule ya Msingi Mabwepande hatukuwa na mbio ndefu sana ilitubidi tutumie msemo wa Wahange kuwa polepole ndio mwendo ili kuhakikisha tunafanya mazoezi sahihi yasiyoumiza watoto wetu katika siku hii ya kusherekea siku ya Mtoto wakike.