Jumatatu , 12th Dec , 2016

Msanii Rucky Beby amewapongeza wasanii wenzake walioibuka na ushindi katika EATV AWARDS, huku akiwashukuru mashabiki wake waliompigia kura.

Msanii huyo ameandika ujumbe mzito kwenye ukurasa wake wa instagram, huku akiipongeza EATV.

 

Tags: