Mkuu wa Mahusiano Umma na Vyombo vya Habari wa Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania, Annette Kanora (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu makubaliano ya ushirikiano baina ya taasisi hiyo na Benki ya NBC yanayolenga kufanikisha maandalizi ya msimu wa tano wa mbio za NBC Dodoma Marathon. Mbio hizo zenye hadhi ya kimataifa zinatarajiwa kufanyika Julai 28, mwaka huu kwenye Uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma. Hafla ya makubaliano hayo imefanyika leo jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mkuu wa Mahusiano ya Umma ya Umma na Mawasiliano wa NBC, Godwin Semunyu

8 Jul . 2024

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, George Simbachawene

4 Jul . 2024

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan (Katikati) na mgeni wake Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi (wa pili kulia) wakimsikiliza Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Bw Arafat Haji (kushoto) akifafanua kuhusu huduma mbalimbali za benki hiyo sambamba na mkakati wake wa kujitanua zaidi hapa nchini mbele ya viongozi hao wawili walipotembelea banda la benki hiyo lililopo kwenye viwanja vya Maonyesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya SabaSaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam leo.

3 Jul . 2024

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) Mhashamu Wolfgang Pisa

3 Jul . 2024

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Manyara George Katabazi

3 Jul . 2024

Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya SACP Benjamin Kuzaga

2 Jul . 2024

Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, Raymond Mndolwa

1 Jul . 2024