Jumapili , 20th Oct , 2024

Mchekeshaji mkongwe Tanzania Mzee Yusuph Kaimu maarufu kwa jina la Pembe amefariki dunia muda wa alasiri ya leo Oktoba 20, 2024.

Pembe ezi za uhai wake

Taarifa ya kifo chake imethibitishwa na baadhi ya wachekeshaji wenzie na wasanii wa filamu aliowahi kufanya nao kazi enzi za uhai wake na taratibu za mazishi zinafuata.