
Kikosi cha wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika timu ya soka Yanga.
Mfungaji pekee wa bao la Yanga hii leo Donald Ngoma akishangilia bao lake.

Mshambuliaji anayeongoza kwa ufungaji katika ligi kuu bara kwa sasa Hamis Kiiza wa Simba SC.
Mshambuliaji hatari wa Tanzania Prisons Mohamed Mkopi pichani kushoto mwenye mpira.

Kikosi cha maafande wa magereza timu ya Tanzania Prisons kutoka jijini Mbeya.
Aliyekuwa nahodha wa Simba menye kitamba mbele Hassan Isihaka akishangilia na wenzake katika moja ya michezo ya timu hiyo.
Wachezaji wa timu ya Azam na Yanga wakichuana katika moja ya michezo iliyozikutanisha timu hizo.
Kikosi cha Yanga kilichoivaa Simba wiki tatu zilizopita ndiyo kimeivaa APR hii leo.

Kikosi cha wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika timu ya Yanga.
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya soka Tanzania bara.

Kikosi cha timu ya soka ya Simba.

Wachezaji wa Yanga Malimi Busungu (katikati), Amis Tambwe (kushoto) na Haji Mwinyi (kulia) wakishangilia moja ya goli kwenye mechi za ligi kuu ya soka Tanzania bara.

Kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima katika moja ya michezo ya timu hiyo.

Kaimu kocha mkuu wa timu ya Simba Mganda Jackson Mayanja.