Zaidi ya 10,000 wafanyiwa usaili uwanja wa Taifa
Zaidi ya watu 10,000 walioomba kazi katika idara ya Uhamiaji jana walifanyiwa usaili katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam na kulazimika kukaa katika viti vya watazamaji katika uwanja huo na maandalizi yakionekana kuwa hafifu.
