Taifa Stars Kuivaa Burundi April 26

Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars.

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) itacheza mechi ya kirafiki na Burundi (Intamba Mu Rugamba) Aprili 26 mwaka huu ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS