ATME yataka wizara iruhusu MSD inunue dawa asili
Chama cha Tiba asilia nchini Tanzania ATME, kimeiomba wizara ya afya na ustawi wa jamii, kuandaa utaratibu utakaoiwezesha bohari ya dawa MSD kununua dawa asili na kuzisambaza katika hospitali na Zahanati za Umma.

