TMA yahimiza matumizi ya taarifa za hali ya hewa

Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya hali ya hewa Tanzania TMA Dkt Agnes Kijazi.

Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini Tanzania TMA imewataka watanzania kuzingatia utabiri wa hali ya hewa ili kuepukana na madhara yanayoweza kujitokeza kutokana na hali ya hewa itakavyotabiriwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS