Wanaowania Urais chanzo cha vurugu Afrika - Sumaye Waziri mkuu mstaafu wa Tanzania Frederick Sumaye amesema wanasiasa wanaousaka urais ndio wamekuwa chanzo cha vurugu na machafuko katika nchi nyingi barani Afrika. Read more about Wanaowania Urais chanzo cha vurugu Afrika - Sumaye