MAFIKIZOLO WAWEKA HISTORIA DAR
Historia imeweza kuandikwa kwa mara nyingine tena jana usiku nchini Tanzania baada ya Kundi la Muziki kutoka Bondeni Afrika Kusini la Mafizolo kudondosha show kali kwa watanzania katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar-es-Salaam.