CECAFA yaialika Azam FC michuano ya Kagame Rwanda
Uongozi wa mabingwa wa soka Tanzania bara Azam FC unataraji kukutana wakati wowote kwaajili ya kujadili mapendekezo ya kocha wao juu ya maandalizi ya timu hiyo pamoja na kupitia majibu ya kocha huyo kuhusu mwaliko wa kushiriki kombe la Kagame

