Tanzania ina wagonjwa wengi wa saratani ya kizazi Waziri wa afya na ustawi wa jamii Dkt Seif Rashid. Nchi ya Tanzania inaongoza katika nchi za Afrika Mashariki kwa kuwa na wanawake wengi wanaobainika kuwa na saratani ya shingo ya kizazi mara wanapofanyiwa vipimo. Read more about Tanzania ina wagonjwa wengi wa saratani ya kizazi