Vilabu vyafikia maafikiano wachezaji wa kigeni.

Rais wa TFF Jamal Malinzi

Mkutano kati ya Rais wa TFF Bw Jamal Malinzi na viongozi wa vilabu vya Ligi Kuu, umefikia makubaliano kwamba idadi ya wachezaji wa kigeni wanatakiwa kusajiliwa na vilabu hivyo iwe ni wachezaji watano.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS