Wambura achukuwa fomu ya Urais Simba SC Michael Wambura akienda kuchukua fomu ya kuwania Urais ndani ya klabu ya Simba Aliyewahi kuwa katibu mkuu wa klabu ya Simba Michael Wambura, hii leo ametinga katika ofisi za klabu hiyo kwa ajili ya kuwania nafasi ya Urais wa klabu hiyo. Read more about Wambura achukuwa fomu ya Urais Simba SC