Uongozi Simba wakabidhiwa ofisi na mali za klabu
Hatimaye mara baada ya kupatikana kwa uongozi mpya wa klabu ya Simba chini ya Rais wake Evans Aveva kuingia madarakani hivi karibu hii leo wamekabidhiwa rasmi ofisi na mali za klabu hiyo na uongozi uliopita chini ya mh. Ismail Aden Rage
