Upinzani wadai nyaraka za muungano ni feki
Kambi ya Upinzani imedai kuwa na ushahidi wa nyaraka ambazo zimewasilishwa katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia unaoonyesha kwamba Muungano uliopo ni kielelezo cha unyonyaji na ukandamizaji ambao nchi ndogo ya Zanzibar imefanyiwa na nchi