Desire Luzinda amtaja baba wa mtoto wake
Kufuatia kuibuka kwa mkanganyiko kuhusiana na baba halisi wa mtoto wa mwanamuziki Desire Luzinda wa nchini Uganda, staa huyu ameamua kuibuka na kuweka mambo sawa, ambapo amemtaja Michael Kaddu kuwa ndiye baba halali wa mtoto wake.

