Ruth Matete aamua kumgeukia Mungu
Baada ya taarifa kusambaa kuwa msanii wa Kenya aliyejipatia umaarufu kwa kushinda taji la Tusker Project Fame, Ruth Matete amefilisika kwa kumaliza mamilioni ya pesa alizoshinda kama zawadi, msanii huyu amerejea katika muziki na ngoma ya injili.