Hemedy PHD kutoka na mpya kila mwezi (June - Dec) Hemedy PdD Staa wa Movie na msanii wa Muziki hapa Bongo, Hemedy PHD, ametangaza zawadi kwa wapenzi wa kazi zake hususan katika muziki kuanzia mwezi huu mpaka mwaka utakapoisha. Read more about Hemedy PHD kutoka na mpya kila mwezi (June - Dec)