Kila Halmashauri kupata mil500 za nyumba za walimu

Rais wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.

Rais Jakaya Kikwete amesema serikali imetenga shilingi milioni 500 kwa kila halmashauri ya wilaya nchini kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za walimu ili kuwapunguzia adha na usumbufu walimu wanapopangiwa kwenda katika vituo vya kazi na kukosa makazi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS