Miyeyusho atoa shukrani kwa mashabiki. Bondia Francis Miyeyusho Bondia Francis Miyeyusho chichi mawe amewashukuru mashabiki wake pamoja na kundi lake la “Lazima Ukae Gym” kwa kumuunga mkono katika pambano lake la juzi dhidi ya bondia Mohamed Matumla. Read more about Miyeyusho atoa shukrani kwa mashabiki.