Riadha taifa yaanza hii leo bila mashabiki
Michuano ya riadha ya taifa imeanza hii leo katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam huku michuano hiyo ikikumbana na changamoto nyingi zikiwemo baadhi ya wanariadha kukimbia bila viatu, huduma mbovu za matibabu na ukosefu wa mashabiki
