Waganga wanachangia mauaji ya albino - UTSS
Shirika linalojishughulisha na utetezi wa watu wenye ulemavu wa ngozi la Under the same Sun nchini Tanzania, limeitaka serikali kuzuia mara moja utoaji wa vibali kwa waganga wa kienyeji ambao baadhi yao huchangia mauaji ya watu wenye "albinism"