'I Do' ya Diana kuachiwa kesho Msanii wa bongo fleva Diana Nyange Baada ya kazi ambayo inakwenda kwa jina Mimi na Wewe kutoka kwa Dyna kufanya vizuri katika chati za muziki mbalimbali ndani na nje ya Afrika Mashariki, mwanadada huyu kwa sasa amejipanga vyema kwa ajili ya ujio mpya. Read more about 'I Do' ya Diana kuachiwa kesho