Nazizi aja TZ kutambulisha 'More Fire'
Staa wa muziki kutoka Kenya, Nazizi ambaye kwa sasa yupo hapa Bongo ameieleza eNewz kuwa ujio wake nchini safari hii ni kwa ajili ya kukamilisha na kutangaza albam ya kundi jipya aliyoifanya na More Fire, kukiwa na project za kutanguliza za kuachia.