Vijana wa Ngwasuma kuachia mbili kwa mashabiki zao
Vijana wa Ngwasuma
Baada ya kuchukua tuzo na Wimbo wao wa Walewale, Band ya Muziki wa Dansi Vijana Ngwasuma wamesema wataachia nyimbo mbili kwa mpigo baada ya Ramadhani ikiwa kama zawadi kwa mashabiki wao.