Mgomo wa madereva waendelea kwa siku ya pili,

Mabasi ya Abiria yakiwa yamepaki baada ya Mgomo wa Madereva.

Mgomo ulioanza jana ambao umeendelea leo umeathiri shughuli za biashara na kiuchumi nchini Tanzania ambapo pia sekta ya ajira imeathirika kutoka na wafanyakazi kushindwa kufika maofisini kwa wakati.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS