DARBA kushirikiana na vyuo kukuza vipaji

Chama cha mpira wa kikapu mkoani Dodoma DARBA kimesema kinaendelea kutoa ushirikiano kwa vyuo vikuu vinavyoshiriki mchezo huo ikiwa ni pamoja na kuendeleza ligi ya vyuo inayoendelea mkoani humo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS