Nooij amrudisha nchini kiungo Said Makapu

Kocha mkuu wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mholanzi Mart Nooij amemrejesha nyumbani kiungo Said Juma ‘Makapu’, siku moja baada ya timu hiyo kupoteza mchezo wa kwanza kombe la COSAFA.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS