Masumbwi Klabu Bingwa Dar es salaam Juni 15 Michuano ya masumbwi klabu bingwa mkoa wa Dar es salaam iliyotarajiwa kufanyika Mei 25 mwaka huu imepelekwa mbele mpaka Juni 15 chama cha masumbwi mkoa wa Dar es aalaam DABA, kukumbwa na tatizo la ukata. Read more about Masumbwi Klabu Bingwa Dar es salaam Juni 15