Swimming Masters kufanya mazoezi kila mwezi
Chama cha mchezo wa kuogelea nchini TSA kimesema kimeandaa mashindano yatakayokuwa yakifanyika mara moja kwa kila mwezi yakihusisha wachezaji 23 waliochaguliwa katika michuano iliyowashirikisha waogeleaji wa zamani yaan Masters Swimming.