Kansiime kuongoza tuzo za AFRIMMA

Star wa vichekesho wa nchini Uganda, Anne Kansiime amechaguliwa kuendesha sherehe za ugawaji tuzo za kubwa za AFRIMMA kwa mwaka huu, tukio ambalo litafanyika Oktoba 10 huko Dallas Texas nchini Marekani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS