Uchaguzi Badminton wasogezwa tena mpaka Juni 10
Baraza la Michezo Tanzania BMT limeongeza muda kwa awamu ya mwisho ya uchukuaji fomu za ugombea wa chama cha mchezo wa vinyoya nchini (Bardminton) TBA mpaka hapo Juni tano na kufanya uchaguzi Mei 10 mwaka huu.