Upigaji kura TAFA bado siku 5
Leo hii ikiwa ni siku 5 tu zimebakia kuelekea siku kubwa inayongojewa kwa hamu ya utoaji wa tuzo za filamu TAFA 2015, zoezi la kuwapigia kura washiriki na kazi zote za filamu zilizoingia katika kuwania tuzo hizo linaendelea kwa kasi.