Uharibufu wa ardhi tishio la maendeleo ya kiuchumi
Waziri wa Nchi , Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt Binilith akizunguza na waandishi wa habari.
Serikali imesema kuwa uharibifu wa ardhi ni tishio kubwa kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi na unasababisha kupungua kwa uzalishaji wa chakula, kuzorota kwa mazingira na kupotea kwa viumbe hai.