Toeni elimu kupambana na Ukatili - Pinda
Waziri mkuu wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda amewataka vyama vya utetezi wa kisheria nchini kushirikiana na serikali katika kutoa elimu kwa jamii ya kuondokana na mauaji ya watu wenye albinism pamoja na mauaji wa vikongwe yaliyokithiri.